Jaji Mkuu mstaafu David Maraga ataka waliohusika kwenye mauaji ya vijana wa Gen Z wawajibishwe

  • | Citizen TV
    3,399 views

    Jaji Mkuu mstaafu David Maraga anataka waliohusika kwenye mauaji ya vijana wa Gen Z wakati wa maandamano ya kupinga serikali Juni mwaka uliopita wawajibishwe. Akizungumza katika uzinduzi wa ripoti ya Kituo Cha Sheria, Maraga amesisitiza kuwa familia za vijana waliouwawa zinastahili kupata haki.