Jamaa 'aliyezikwa' amerejea nyumbani

  • | NTV Video
    9,458 views

    Walidhani wamezika mwili wa mtu wanae mjua kumbe mwenyewe yuko hai." Ni kioja cha huko kaunti ya Meru ambapo familia moja imeandamana ikililia madai ya polisi kuwatoza pesa nyingi kwa lengo la ufukuzi wa mwili uliozikwa kwao na kutaka kujua ukweli wa mwili huo hemed anapakua taarifa hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya