Kanisa la ACK lajenga madarasa huko Kapua, Turkana

  • | Citizen TV
    102 views

    Kutokana na ukosefu wa madarasa maeneo ya Kapua eneo bunge la Turkana ya kati na Lokipetot Akwan Turkana kaskazini,kanisa la kianglikana Lodwar, limejitwika jukumu la kujenga madarasa maeneo hayo. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,wito umetolewa kwa wazazi wawapeleke watoto wao shuleni na wakome tamaduni ya kuoza watoto wasichana .