Kaunti ya Homa Bay yaanzisha ukulima wa alizeti kwa mara ya kwanza

  • | Citizen TV
    322 views

    Washikadau wa kilimo na viongozi kutoka kaunti ya Homa bay wameanzisha mchakato wa kuinua hadhi ya ukulima kupitia ushauri na vifaa vya kisasa.