KENHA imechapisha kandarasi hiyo kwenye gazeti rasmi

  • | Citizen TV
    395 views

    Viongozi katika Kaunti ya Samburu wamekaribisha mipango ya ujenzi wakilomita 38 za lami katika barabara kuu ya Maralal kuelekea Baragoi,pamoja na ile ya Kisima Wamba