Kenya kujifunza kutoka kwa Ivory Coast katika maandalizi ya AFCON 2027

  • | K24 Video
    635 views

    Taifa la Ivory Coast liliandaa mashindano ya kufana ya kombe la mataifa barani Afrika mnamo mwaka 2023, ambapo wenyeji the elephants waliibuka kidedea. katika maandalizi ya mashindano hayo, Ivory Coast ilijenga viwanja vinne vipya ukiwemo uga wa Alassane Ouatara ambao uliandaa mechi ya ufunguzi pamoja na fainali. Wakati ambapo kenya inatarajiwa kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa taifa hilo.