Kiongozi wa wengi seneti ampuuza Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    1,314 views

    Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Seneti Aaron Cheruiyot amepuuzilia mbali miungano ibuka ya kisiasa inayoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, kiongozi wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na washirika wao