Kundi moja la kiukoo lakusanya shilingi milioni-3 kufadhili elimu ya wasiojiweza

  • | KBC Video
    12 views

    Zaidi ya wanafunzi-570 kutoka familia zisizojimudu kifedha katika eneobunge la Rangwe kaunti ya Homabay zimenufaika na msaada wa masomo kuendelea na elimu yao ya muhula wa kwanza mwaka huu.Mpango huo wa kifedha unaotekelezwa na kundi la elimu la Kowli umekusanya shilingi milioni-3 kusaidia wanafunzi wa shule za upili na vyuo ambao hawajimudu kifedha. Hafla hiyo ilifanyika katika shule ya upili ya Ligisa kwa lengo la kushughulikia visa vingi vya watoto kuacha shule kutokana na ukosefu wa fedha. Waandalizi wa hafla hiyo walitoa wito kwa wahisani kukidhia mpango huo wa kifedha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive