Maadhimisho ya siku ya wapendanao

  • | K24 Video
    125 views

    Katika siku hii ya wapendanao sekta ya uchukuzi wa bodaboda pia imenufaika si haba. Wakenya waliodhimisha wametumia waendeshaji boda boda kutuma zawadi nyumbani na ofisini. Katika kaunti ya Nakuru wanahabari walionyesha mapenzi kwa wagonjwa nchini kwa kutoa damu. shughuli sawa na hiyo ilifanywa Uasin Gishu.