Maafisa tibibu nchini watoa makataa ya siku 14 ya mgomo

  • | Citizen TV
    495 views

    Maafisa tibibu nchini wametoa makataa ya siku 14 kwa serikali kutekeleza matakwa yote katika mkataba wa maelewano waliotia saini Septemba mwaka jana, la sivyo watasusia kazi.