Maiti saba zaidi zaopolewa mtoni Tana River

  • | Citizen TV
    8,716 views

    Miili saba zaidi imeopolewa kutoka mto tana kufuatia ajali ya boti eneo la madogo.miili hiyo imepatikana usiku wa kuamkia leo na asubuhi . idadi jumla ya waliofariki kwenye mkasa huo wa boti imefikia watu 11. viongozi wa eneo hilo wameikashifu mamlaka ya kenha na kusema kuwa ujenzi wa barabara umechukua muda mrefu zaidi. Aidha watu 12 bado wanatafutwa.Haya yanajiri huku usafiri wa boti ukisitishwa kati ya kaunti za Tana River na Garissa.