'Maiti zilitapakaa kila mahali'

  • | BBC Swahili
    655 views
    Maalim wa madrassa ,Masud Abdulrasheed, anatafuta faraja ili kukabiliana na kifo cha binti yake mwenye umri wa miaka saba ,Habeebah, aliyeuawa kufuatia mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa na wanajeshi wa Nigeria wakati wa sherehe za kidini katika kijiji chao kikubwa ambacho hakina watu wengi mwaka mmoja uliopita. ''Shambulio la tarehe tatu Disemba mwaka 2023, lilikuwa janga kubwa ambalo halikupaswa kutokea,'' alisema msemaji wa jeshi, meja jenerali Edwars Buba. #Ndege #watoto #vita Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw