Mamlaka ya NITA yashirikiana na vyuo mbalimbali

  • | Citizen TV
    72 views

    Mamlaka ya Kitaifa inayotoa mafunzo ya viwanda (NITA) imeanzisha mchakato wa kushirikiana na vyuo vya mafunzo anuwai ili kuhakikisha kuwa elimu inayotolewa kwa wanafunzi inafikia viwango vya kimataifa