Mashine ya kukausha omena yanunuliwa Migori

  • | Citizen TV
    351 views

    Kaunti ya Migori ni miongoni mwa maeneo ya Afrika Mashariki ambayo yanatarajiwa kunufaika na mashine ya kukaushia samaki aina ya omena inayotumia nishati ya jua.