Maskauti wahubiri amani shuleni Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    174 views

    Chama cha maskauti katika Kaunti ya Pokot Magharibi kinaendelea na juhudi za kuhubiri amani na kutekeleza miradi ya maendeleo katika baadhi ya shule za eneo hilo