- 7,022 viewsMawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana Ijumaa Februari 07, 2025 jijini Dar es Salaam, Tanzania, kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Katika hotuba zao, viongozi wa mkutano huo wameeleza kuwa hali ya usalama Mashariki mwa DRC bado ni tete, huku mashambulizi ya makundi ya waasi kama M23 yakisababisha vifo vya raia na walinda amani, pamoja na kuzorotesha hali ya kibinadamu. Wameeleza kuwa wanawake, watoto na watu wenye ulemavu ndiyo waathirika wakubwa wa mgogoro huu. Mawaziri hao wametoa wito kwa pande zote zinazohusika katika mgogoro wa DRC kuheshimu sheria za kimataifa, kulinda wanadiplomasia na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inawafikia wahitaji. Wameeleza kuwa njia pekee ya kuleta amani ya kudumu ni kupitia mazungumzo badala ya mapigano yasiyoisha. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani #voaswahili #afrika #congo #drc #goma #m23 #sadc #eac #mawaziri #mamboyanje
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa SADC na EAC wajadili hali ya usalama wa DRC
- - Citizen TV Live ››
- - NTV LIVE: March 2025 ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Mar 2025 - Spain's government approved a bill on Tuesday imposing massive fines on companies that use content generated by artificial intelligence (AI) without properly labelling it as such, in a bid to curb the use of so-called "deepfakes".
- 12 Mar 2025 - Former Philippine President Rodrigo Duterte was arrested and taken into custody on Tuesday in Manila on an International Criminal Court warrant for the "war on drugs" that defined his term in office and which killed thousands of Filipinos.
- 12 Mar 2025 - Nairobi set to host Arabika Coffee Day as country bids to boost sector
- 12 Mar 2025 - Hope as secuirty operation tames nagging banditry, two years later
- 12 Mar 2025 - Digital security is critical for consumer trust and brand integrity
- 12 Mar 2025 - Back to sunroof campaigns or development tours?
- 12 Mar 2025 - Nyakango decries funding cut as State plans to clear pending bills
- » Ruto, Raila allies censure 'fence sitter' Ndindi Nyoro over "corruption" ahead of committee's elections12 Mar 2025 - Ruto, Raila allies censure 'fence sitter' Ndindi Nyoro over "corruption" ahead of committee's elections
- 12 Mar 2025 - Pay cut for defunct NHIF staff transitioning to new system
- 12 Mar 2025 - Governors missing as Kenyans struggle with SHA