Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi asakwa na polisi

  • | KBC Video
    164 views

    Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi amejificha katika makazi yake ya Muthaiga baada ya kukwepa kukamatwa na polisi.Kulingana na wakili wake Nelson Osiemo,Maafisa wa polisi walimwanda mfanyabiashara huyo kutoka katikati mwa jiji la Nairobi,kwa kushiriki maandamano ya nane nane.Hata hivyo juhudi zao kumkamata ziligonga mwamba baada ya mfanyabiashara huyo kukimbilia na kujifungia katika makazi yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News