Mgonjwa apatikana amekatwa shingo KNH

  • | Citizen TV
    17,669 views

    Mafisa wa DCI wameanzisha uchunguzi kutegua kitendawili cha mgonjwa aliyeuawa akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya kenyatta. Mgonjwa huyo alipatikana amekatwa shingo usiku wa kuamkia leo kwenye wodi.