Mhisani atoa msaada wa vitabu kwa wanafunzi Butere

  • | Citizen TV
    224 views

    wazazi na jamii nzima wametakiwa kujinyima na kukumbatia elimu kwa wana wao kwa kuwapeleka shuleni kupata elimu iliyo bora ili waweze kunufaika siku zao za usoni.