Mjane mmoja alilia haki Watamu

  • | Citizen TV
    1,084 views

    Mjane mmoja huko Watamu kaunti ya Kilifi analilia haki baada ya madai ya kuhadaiwa na raia mmoja wa Ujerumani aliyekodisha kwenye kipande chake Cha ardhi chenye ukubwa wa Robo ekari na baadaye kubomoa nyumba yake na kujenga hoteli.