Mshukiwa wa mauaji ashambuliwa mbele ya hakimu mahakamani

  • | BBC Swahili
    109 views
    Tazama namna ambavyo wanaume hawa walivyomvamia na kumshambulia mshukiwa anayetuhumwa kumuua ndugu yao ndani ya mahakama huko New Mexico wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo ya mauaji. Mlinzi wa mahamani hapo aliingilia kati lakini pia alishambuliwa. Wanaume hao wawili, Carlos Lucero na Pete Ysasi, walikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kumpiga afisa wa usalama na kushambulia mbele ya mahakama. #bbcswahili #newmexico #mahakama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw