Mwanamume adaiwa kuuwawa na mwajiri Lang'ata

  • | Citizen TV
    4,070 views

    Polisi wanachunguza kisa ambapo kijana mmoja alipatikana ameuwawa katika eneo la kambi moto mtaani langata. Kijana huyo, Jackson Mukundi, anadaiwa kuuwawa kwa madai kuwa alitoweka na pikipiki ya mwajiri wake kwa siku mbili bila kumlipa pesa zake