Mwanamume mmoja akatwa sehemu za siri Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,807 views

    Shughuli za kibiashara zilisimama kwa saa kadhaa katika eneo la kutus kaunti ya kirinyaga baada ya wakazi wenye hamaki kuzua fujo wakimtaka jamaa aliyemkata mwenzake sehemu zake za siri.