Mwili wa Papa Mtakatifu wasilishwa St. Peter's Basilica

  • | Citizen TV
    3,853 views

    Mwili wa Papa Francis aliyeagadunia Jumatatu ya Pasaka ume wasilishwa leo katika kanisa la St. Peter's Basilika ambapo utasalia kwa muda wa siku tatu ili kuwapa nafasi waumini wa Kanisa Katoliki na raia wengine ulimwenguni kupata nafasi ya kuutazama mwili wake na kuupa mkono wa buriani