Mzee Justus Ombisi sikote arudi nyumbani Vihiga kutoka Kiambu

  • | Citizen TV
    958 views

    Mbwembwe na tafrija zilisheheni katika kijiji cha Ebwali Kaunti ya Vihiga baada ya mzee wa miaka 92 kuungana na familia yake baada ya kutoweka kwa miaka 72