'Ndoto yetu ya kweli,' Kina mama wakongwe wa Mutei FC waelezea safari

  • | Citizen TV
    18 views

    Wengi wao ni mara yao ya kwanza kupanda ndege

    Wanasema walivyoshindwa kujihudumia kwengine

    Wako nchini Afrika Kusini kwa mashindano ya soka