Polisi Juja wamkamata mwanamke kwa mauaji ya Peter Macharia aliyedungwa kisu mara saba na kufariki

  • | TV 47
    117 views

    Polisi Juja wamkamata mwanamke kwa mauaji ya Peter Macharia aliyedungwa kisu mara saba.

    Mwili wa Macharia ulipatikana mtaani Mastore Juja.

    Wakaazi wanataka Cynthia Nakato ambaye ni raia waa Uganda afukuzwe kwa vitisho vya awali.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __