Polisi wapata ng’ombe 47 ambao waliibwa na majambazi huko Ng'aratuko, Baringo

  • | Citizen TV
    1,058 views

    Polisi wamepata ng’ombe 47 ambao waliibwa na majambazi huko Ng'aratuko, Baringo Kaskazini jana alasiri.