Rais Ruto awapokea rasmi mabalozi-5 wapya

  • | KBC Video
    96 views

    Rais William Ruto amesema kuwa halmashauri ya afya ya kijamii imelipa shilingi bilioni- 18.2 kufikia tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu miezi minne tu tangu ilipoanzishwa. Kwenye taarifa rais alisema kuwa hospitali zilizoidai iliyokuwa bima ya NHIF deni la chini ya shilingi milioni-10 ni asilimia 91 na zitalipwa kikamilifu. Vituo vya avya vinavyodai zaidi ya shilingi milioni-10 vitasailiwa katika muda wa siku 90 ambapo baadaye malipo yataafikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive