Rais Ruto azindua miradi ya maendeleo Nyandarua, Murang’a

  • | KBC Video
    135 views

    Rais William Ruto amekosoa waraka uliotolewa na mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakango, uliowapiga marufuku magavana kutoa fedha za basari kwa wanafunzi kwa msingi wa mkinzano wa majukumu. Rais alikosoa agizo hilo akisema lilikosa kuzingatia mahitaji ya watu, akiongeza kwamba wanafunzi kutoka familia masikini kwenye ngazi ya kitaifa na kaunti wanafaa kufadhiliwa ili waendelee na masomo yao. Ripota wetu Abdiaziz Hashim anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive