Rais Ruto azindua mpango wa ushirika na wakimbizi

  • | Citizen TV
    811 views

    Mpango huo kuwashirikisha wakimbizi katika jamii

    Rais azihakikishia jamii za Kaskazini kuwa watafaidika Hatua hiyo kuwahakikishia wakimbizi uhuru wa kufanya kazi