Ruto awasuta Wakenya wanaopinga miradi ya serikali

  • | NTV Video
    178 views

    Rais William Ruto leo amewavalia njuga wakenya na wanasiasa wanaopinga miradi na mipango ya serikali yake akiwataja kama wenye chuki na kukosa uzalendo. Ruto alisema hayo huko Taita Taveta ambapo amekuwa Kwa ziara ya maendeleo, akitamaushwa na jinsi ambavyo mitandao ya kijamii inatumika kumkejeli pamoja na serikali yake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya