Semi za Kimani Ichungwa na Junet kuhusu Ndindi Nyoro zaaibua hisia tofauti

  • | NTV Video
    7,503 views

    Semi za kiongozi wa walio wengi bungeni, Kimani Ichungwa na kiongozi wa wachache Junet Mohammed kwenye bunge la taifa kuhusu mbunge Ndindi Nyoro zimeendelea kuibua hisia tofauti huku viongozi wa Murang'a wakimtetea mbunge huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya