Seneta wa Narok aliwasilisha mswada kuwatetea wanachama

  • | Citizen TV
    109 views

    Mzozo wa ardhi ya Hektari 7,800 baina ya wanachama na mabwenyenye katika Ranchi ya hifadhi kwa wanyama pori ya Olderkesi ,wadi ya Naikarra Narok Magharibi unatokota