Serikali yazindua mpango wa “Kazi Majuu”, wakenya elfu-6 kunufaika

  • | KBC Video
    104 views

    Serikali imeibua wasiwasi kuhusiana na idadi kubwa ya wakenya wanaojihusisha katika uraibu wa vileo na matumizi ya mihadarati baada ya kupata ajira ughaibuni. Waziri wa leba Dr. Alfred Mutua aliyayasema hayo wakati wa uzinduzi wa mpango wa hivi maajuzi wa Kazi Majuu jijini Nairobi ambapo zaidi ya wakenya elfu sita wasio na ajira watanufaika akisema kuwa usaili wa kina utatekelezwa ili kuhakikisha kwamba ni watu walio na ujuzi na wasio na uraibu wa pombe wanapata nafasi hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive