Shughuli ya kuwahoji wawaniaji inaendelea

  • | Citizen TV
    517 views

    Mawaziri wateule Geoffrey K. Kiringa Ruku na Hanna Wendot Cheptumo watahojiwa na kamati ya bunge kuhusu uteuzi