Taifa lipo hatarini kutokana na ukosefu wa makamishna wa IEBC

  • | NTV Video
    1,245 views

    Taifa lipo katika hali ya hatari kufuatia kutokuwepo na makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka ya IEBC. Hilo limedhihirika katika siku ya kwanza ya mkutano wa kitaifa wa washika dau wa serikali, mataifa ya kigeni, yale ya kibinafsi pamoja na viongozi wa sekta mbali mbali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya