Uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya muungano wa Afrika (AUC) kufanyika hapo kesho

  • | K24 Video
    1,983 views

    Uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya muungano wa Afrika (AUC) utafanyika hapo kesho Jumamosi. Raila Odinga wa kenya atamenyana na mahmoud Ali Youssof wa Djibouti na Richard Randriamandrato wa Madagascar. Ili kushinda uchaguzi huo inahitaji mmoja wao kupata kura thelathini na tatu kati ya mataifa arobaini na tisa yatakayoshiriki uchaguzi huo.