uchakaji wa plastiki wahimizwa

  • | KBC Video
    8 views

    Connect with KBC Online;

    Wanaharakati wa kulinda mazingira wamewarai wakazi wa kaunti ya Kwale kukadiria uchakataji wa bidhaa za plastiki kama mbinu ya kutafuta kipato. Wito huo ulitolewa wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyolenga kuhamasisha kuhusu mapato yanayoweza kutokana na bidhaa za plastiki huko Kwale. connect to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive