Undani wa mamluki wa Congo

  • | BBC Swahili
    5,438 views
    Karibu mamluki 300 wa Kiromania walioajiriwa kupigana upande wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, walifurushwa na M33 kutoka Mji wa Goma na kuingia Rwanda BBC imeona kandarasi za Mamluki hao. Walikua wakifanya nini DRC? Mwandishi wa BBC @munie_noor anaeleza zaidi ✍🏾 Ian Wafula. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw