Ushahidi unaoonesha Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23

  • | BBC Swahili
    0 views
    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wanaasema kuwa jeshi la Rwanda "linaongoza operesheni za M23", wakielezea jinsi makurutu wa M23 wanavyopewa mafunzo chini ya usimamizi wa Rwanda na kupewa silaha za hali ya juu za Rwanda. - Je ushahidi unasemaje dhidi ya tuhuma hizi? @martha_saranga anaelezea zaidi - #bbcswahili #DRC #Rwanda #M23 #UN Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw