Vijana wengi humu nchini wanatafuta kazi ughaibuni

  • | Citizen TV
    573 views

    Ukosefu wa ajira ukionekana kuzima azma ya vijana wengi humu nchini na kuwalazimu baadhi kusafiri ughaibuni kutafuta kazi, kinaya ni kuwa hali ni tofauti katika eneo la Moyale mpakani mwa Kenya na Ethiopia