Viongozi wa makanisa wapinga mswada wa kudhibiti kanisa

  • | Citizen TV
    252 views

    Viongozi Wa Kanisa La Kievanjelisti Wamepaza Sauti Yao Ya Kupinga Mswada Uliopelekwa Bungeni Na Seneta Wa Tana River Danson Mungatana Wa Kudhibiti Makanisa...Kulingana Na Viongozi Hao, Hawakuhusishwa Kubuni Mswada Huo Wakisema Unahujumu Haki Ya Kuabudu. Wameongeza Kuwa Mswada Huo Unalenga Kanisa Tu Badala Ya Dini Zote.