Wabunge wa UDA na ODM waendelea kusifia muungano

  • | Citizen TV
    374 views

    Baadhi ya wabunge kutoka vyama vya UDA na ODM wametetea serikali ya muungano wakitaja kama muungano utakaohakikisha maendeleo katika sehemu zote nchini