Wachapishaji wasema vitabu vya CBC vitakuwa tayari kufikia Februari

  • | Citizen TV
    131 views

    Wachapishaji Wa Vitabu Wa Mtaala Wa Mtaala Wa Cbc Wanasema Kuwa Vitabu Vya Gredi Ya 9 Viko Katika Kiwango Cha Mwisho Cha Uchapishaji Huku Wakisisitiza Kuwa Ifikapo Mwishoni Mwa Februari Vitabu Vyote Vya Gredi Ya Nne Hadi Nane Pia Vitakuwa Tayari. Kulingana Na Wachapishaji Hao, Gredi Ya Tisa Iko Na Vitabu Vyote, Wakisema Kuwa Kuchelewa Kwa Baadhi Ya Vitabu Kulitokana Na Ripoti Ya Jopo La Utekelezaji La Rais Lililopendekeza Kupunguzwa Kwa Masomo