Wakaazi wa kijiji cha Nyamware eneo la Nyando sasa wanaitaka serikali kuu kuingilia kati na kuchungu

  • | Citizen TV
    232 views

    Wananchi kijijini kisumu walalamikia maradhi inayoua mifugo maradhi hayo yaliyo na vidonda yalianza Novemba 2024 walio na mifugo wanadai hasara maradufu ya wanyama wao sababu ya maradhi hayo bado haijabainika wazi Kisumu