Wakazi wa kaunti ya Nyeri watakiwa kukumbatia upatanishi kama njia mbadala ya kusulusish kesi

  • | Citizen TV
    196 views

    Wakazi wa kaunti ya Nyeri wametakiwa kukumbatia upatanishi kama njia mbadala na ya haraka kusulusisha kesi za mazingira na zile za mashamba ambazo zimelimbikizana katika mahakama za kaunti hiyo. Ombi hili limetolewa na kitengo cha kesi za mashamba na mazingira kinachoendeleza wiki nzima ya mafunzo kwa umma. Kamau Mwangi anaarifu zaidi.