Wakenya wengi wanahangaika kukosa ajira humu nchini

  • | Citizen TV
    194 views

    Ukosefu wa kazi umeendelea kuzidi kuwa donda sugu nchini, huku maelfu ya wakenya wakitaabika kupata angalau mapato ya siku kujikimu na familia zao.