Wanafunzi wachapisha kitabu cha maadili Kisii

  • | Citizen TV
    81 views

    Washikadau wa elimu Kaunti ya Kisii wanazidi kupongeza wasichana 18 wa shule ya upili ya Kereri kwa kuwa wa kwanza eneo zima la Gusii kuchapisha kitabu cha kutoa mafunzo kuhusu maadili na uongozi katika viwango tofauti miongoni mwa wanafunzi