Wanafunzi watatu wamefariki maji Lamu

  • | Citizen TV
    2,279 views

    Vijana watatu ambao ni wanafunzi katika eneo la Hongwe huko Mpeketoni kaunti ya Lamu wamezama baharini walipokuwa wakiogelea katika eneo la Shella Kisiwa cha Amu